Jumapilimoja ya siku saba za wiki / From Wikipedia, the free encyclopedia Jumapili ni siku ya kwanza katika juma (wiki) ya siku saba yenye asili ya Kiyahudi-Kikristo. Iko kati ya siku za Jumamosi na Jumatatu. Kwa Wakristo walio wengi ni siku ya sala za pamoja kanisani.
Jumapili ni siku ya kwanza katika juma (wiki) ya siku saba yenye asili ya Kiyahudi-Kikristo. Iko kati ya siku za Jumamosi na Jumatatu. Kwa Wakristo walio wengi ni siku ya sala za pamoja kanisani.