Gregori Mtendamiujiza
Askofu na mtakatifu wa Ugiriki (c. 213 - 270) / From Wikipedia, the free encyclopedia
Gregori Mtendamiujiza, au Gregori wa Kaisarea Mpya, (213 hivi – 270 hivi) alikuwa askofu wa karne ya 3 maarufu kwa miujiza mingi aliyoipata kutoka kwa Mungu.
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Novemba[1].