Diskografia ya Tupac Shakur
From Wikipedia, the free encyclopedia
Hii ni diskografia ya Tupac Shakur, rapa kutoka nchini Marekani. Kumepata kutolewa albamu takriban kumi na moja; nne zilitolewa kabla ya kifo cha Shakur mnamo Septemba 13, 1996 na saba zilitolewa baada ya kifo chake, ya kwanza ikiwa The Don Killuminati: The 7 Day Theory ilitolewa mnamo Novemba 5, 1996 (ijapokuwa albamu ilikamilika kabla hata Shakur hajafa). Tupac Shakur ameuza nakala za rekodi milioni 75 kwa hesabu ya dunia nzima,[1][2][3] [4]
Ukweli wa haraka Tupac Shakur, Pia anajulikana kama ...
Tupac Shakur | |
---|---|
Pia anajulikana kama | 2Pac, Pac, Makaveli, MC New York |
Amezaliwa | (1971-06-16)Juni 16, 1971 East Harlem, Manhattan New York City, New York, U.S. |
Amekufa | 13 Septemba 1996 (umri 25) Las Vegas, Nevada, U.S. |
Kazi yake | Rapper, mwigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mshairi, mwandishi-skrini, mwanaharakati, mtunzi |
Miaka ya kazi | 1988–1996 |
Studio | Death Row, Interscope |
Ameshirikiana na | Outlawz, Thug Life, Danny Boy, Digital Underground, Dr. Dre, Johnny "J",Ice Cube, Nate Dogg, The Notorious B.I.G., Snoop Dogg |
Funga