Tarehe 15 Agosti ni siku ya 227 ya mwaka (ya 228 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 138.

Jul - Agosti - Sep
1 2 3 4 5 6 7
8 9 10 11 12 13 14
15 16 17 18 19 20 21
22 23 24 25 26 27 28
29 30 31
Kalenda ya Gregori

Matukio

Waliozaliwa

Waliofariki

Sikukuu

Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sherehe ya Bikira Maria Kupalizwa mbinguni (Waorthodoksi wanaiita Kulala kwa Mama wa Mungu), lakini pia kumbukumbu za watakatifu Tarsisi wa Roma, Stratoni na wenzake, Simplisiani, Alipius wa Thagaste, Altifridi, Yasinto wa Krakau, Stanislaus Kostka, Alois Batis na wenzake n.k.

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 15 Agosti kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.