tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 20 Mei ni siku ya 140 ya mwaka (ya 141 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 225
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Bernardino wa Siena, Lidia wa Thiatira, Aurea wa Ostia, Baudeli, Talalei, Lusiferi wa Cagliari, Hilari wa Toulouse, Austregesili, Anastasi wa Brescia, Theodori wa Pavia, Protasi Chong Kukbo, Arkanjelo Tadini n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 20 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.