Wilaya ya Simajiro ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Manyara.

Thumb
Mahali pa Simanjiro (kijani cheusi) katika mkoa wa Manyara.

Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Simanjiro ilihesabiwa kuwa 178,693 waishio humo. [1] Katika sensa ya mwaka 2022 wazazi walihesabiwa 291,169 [2].

Simanjiro imepakana na mkoa wa Arusha upande wa kaskazini, mkoa wa Kilimanjaro upande wa kaskazini-mashariki, mkoa wa Tanga upande wa kusini-mashariki, wilaya ya Kiteto upande wa kusini, mkoa wa Dodoma upande wa kusini-magharibi na wilaya ya Babati kwenye magharibi.

Makao makuu ya wilaya yapo Orkesumet.

Wenyeji ni hasa Wamasai na ufugaji ni kazi yao hasa. Katika Mererani watu huchimba vito vya tanzanaiti.

Marejeo

Viungo vya Nje

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.