Whitney Houston

From Wikipedia, the free encyclopedia

Whitney Houston

Whitney Elizabeth Houston (9 Agosti 1963 - 11 Februari 2012) alikuwa mwimbaji maarufu, mcheza filamu na mwanamitindo kutoka nchini Marekani. Whitney ni mshindi wa Tuzo ya Grammy - akiwa kama mwimbaji bora wa pop/R&B, mwigizaji, mtayarishaji wa filamu, mtunzi wa nyimbo na mwanamitindo wa zamani. Anafahamika zaidi kwa kuwa sauti kali yenye nguvu na mvuto.[2] Anafahamika zaidi kwa kupitia wimbo wake wa "I Will Always Love You" na "I Wanna Dance with Somebody" kutoka katika toleo lake la 'The Star Spangled Banner.'

Ukweli wa haraka Maelezo ya awali, Jina la kuzaliwa ...
Whitney Houston
Thumb
Whitney Houston akiimba kwenye Welcome Home Heroes with Whitney Houston mnamo 1991
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Whitney Elizabeth Houston
Amezaliwa Agosti 9 1963 (1963-08-09) (umri 61)
Newark, New Jersey, US
Asili yake East Orange, New Jersey
Amekufa Februari 11, 2012 (umri 48)
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mwigizaji, mtayarishaji wa rekodi, mtayarishaji wa filamu, mwanamitindo
Ala Sauti, piano
Aina ya sauti Mezzo-soprano[1]
Miaka ya kazi 1977–2012
Studio Arista
Tovuti www.whitneyhouston.com
Funga

Whitney ni mmoja kati ya wasanii wa kike waliopata mafanikio makubwa kabisa katika medani ya muziki. Moja kati ya albamu zake ambazo zilipata kuwa maarufu zaidi ni pamoja na The Bodyguard (Kibwagizo bora kwa mauzo bora kwa miaka yote) na ndiyo albamu yake iliyofanya vizuri kupita zote.

Whitney Houston alifariki mnamo tarehe 11 Februari 2012 katika mazingira ya utata. Mwili wake ulikutwa katika chumba cha hoteli ya Beverly Hilton huko Beverly Hills, California.[12]

Wasifu

Maisha ya awali

Diskografia

Makala kuu: Diskografia ya Whitney Houston
Studio albamu
  • Whitney Houston (1985)
  • Whitney (1987)
  • I'm Your Baby Tonight (1990)
  • My Love Is Your Love (1998)
  • Just Whitney (2002)
  • I Look to You (2009)

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.