From Wikipedia, the free encyclopedia
Wasafi Records ni studio iliyoanzishwa na mwimbaji Diamond Platnumz mwaka 2014. Studio hiyo yenye makao yake katika jiji la Dar es Salaam, Tanzania inajulikana kuwa msingi wa Bongo Flava.
Wasafi Records | |
---|---|
Imeanzishwa | 2014 |
Mwanzilishi | Diamond Platnumz |
Usambazaji wa studio | "WCB Wasafi" |
Aina za muziki | Bongo Flava |
Nchi | Tanzania |
Mahala | Dar es salaam,Tanzania |
Tovuti | http://wasafi.com/ |
Ni kati ya studio chini ya lebo ya WCB Wasafi zinazofanya vizuri nchini Tanzania. Tangu kuanzishwa hadi sasa mtayarishaji wake ni yuleyule, Laizer Classic, aliyetayarisha vibao vingi vilivyofanya vizuri Tanzania na Afrika kwa ujumla wake.
Orodha ya wasanii ambao wamejisajili katika Wasafi Records ni pamoja na:
SN | Jina Ya Msanii | Mwaka wa Usajili | Nyimbo | Meneja Wa Msanii | Maelezo |
---|---|---|---|---|---|
1. | Harmonize[1] | 2015[2] | Aiyola, Bado, Matatizo, Inde, Niambie, Show Me, Happy Birthday, Unaionaje, Sina, Shulala, Nishachoka, Pilipili, Kwa Ngwaru, DM Chick, Nimwage Radhi, Love You, Fire Waist | Mr Puaz | Zamani alikuwa na Riccardo Momo pia |
2 | Rich Mavoko[3][4] | 2016 | Ibaki Story, Kokoro, Sheri, Rudi | Babu Tale, Sallam SK |
Hayupo tena WCB tangu Julai, 2018[5] |
3. | Queen Darleen[6] | 2016 | Touch, Ntakufilisi, Kijuso | Babu Tale, Saalam Sharrif |
|
4. | Rayvanny | 2016 | Give You All, Sugu, Natafuta Kiki, Siri,[7] Zezeta,Kwetu,Mbeleko, Chuma Ulete,Unaibiwa, Makulusa | Babu Tale | |
5. | Lava Lava | 2017 | Tuachane, Kilio, Dede,Utatulia, Teja, | Babu Tale, Sallam SK |
|
6 | Mbosso | 2017 | Nimekuzoea, Watakubali, Alele, Shida | Babu Tale, Sallam Sk |
|
7 | Zuchu | 2020 | Hakuna Kulala, Nisamehe, Kwaru, Wana, Raha, Ashua, Mauzauza, cheche, litawachoma, sukari | ||
Angalizo: | Wasanii wote wa WCB wana mameneja wakuu watatu, Mkubwa Fella, Sallam SK na Babu Tale. Halafu kuna mameneja wa msanii mmoja-mmoja. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.