From Wikipedia, the free encyclopedia
Uvinza ni kata ya Wilaya ya Uvinza katika Mkoa wa Kigoma, Magharibi mwa Tanzania. Wilaya hiyo ilianzishwa rasmi mnamo Machi 2012 ikiwa na makao makuu Lugufu.
Kata ya Uvinza | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Kigoma |
Wilaya | Kigoma Vijijini |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 43,102 |
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 43,102 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 35,231 waishio humo.[2]
Mji wa Uvinza ni maarufu kwa upatikanaji wa chumvi.
Ulijulikana kama Neu Gottorp wakati wa utawala wa Wajerumani walipokuwa wakijenga Reli ya kati toka Kigoma hadi Dar es Salaam, Mwaka 2007 ulichaguliwa kuwa chanzo cha tawi la reli itakayokwenda Bujumbura, Burundi.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.