Uingereza Kusini-Magharibi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uingereza Kusini-Magharibi (Kiing.: South West England) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 4,928,450. Mji wake mkuu ni Bristol / Plymouth.
South West England | |
![]() |
|
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Sehemu | Uingereza |
Mji mkuu | Bristol / Plymouth |
Eneo | |
- Jumla | 23,829 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 4,928,450 |
Tovuti: http://www.southwest-ra.gov.uk/ |
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Uingereza Kusini-Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.