Ubepari ni mfumo wa uchumi ambamo biashara, viwanda na vitegauchumi vingine vinatawaliwa na watu binafsi kwa kiasi kikubwa na kwa lengo la kupata faida. Nafasi ya serikali ni ndogo. Vilevile lengo la kuhudumia jamii katika mahitaji yake haliongozi mipango.[1][2]
Kati ya sifa za ubepari kuna ulimbikizaji wa mtaji, ushindani katika soko huria na kazi zinazolipwa mshahara.[3]
Katika mfumo huo, pande zinazokabiliana zinapanga zenyewe bei kwa makubaliano, bila kuingiliwa na mamlaka yoyote ya nje.[4]
Ubepari una viwango tofauti vya uhuru huo, kadiri ya nchi:[5]Kiingereza kinaainisha laissez-faire capitalism, welfare capitalism, crony capitalism na state capitalism.[6]
Kihistoria, ubepari uliwahi kuwepo tangu zamani kwa namna mbalimbali, lakini ulianza kutawala baada ya mifumo ya Karne za Kati za Ulaya kupitwa na wakati na mapinduzi ya viwanda kushika kasi. Ubeberu, ukoloni, halafu utandawazi vimefanya ubepari uenee duniani kote.[7]
Katika karne ya 20 ubepari ulishindana na mfumo mbadala wa ukomunisti ambao ulitia mkazo juu ya majukumu ya serikali katika uchumi mpaka kuwanyima wananchi nafasi ya kuwajibika. Hata hivyo, baada ya kushinda,[8][9][10]ubepari pia umeingiza uchumi wa dunia katika hali tete, kama ilivyojitokeza mwanzoni mwa karne ya 21.
Watetezi wa ubepari wanasisitiza kwamba mfumo huo unaleta ustawi wa jamii ulio mkubwa kuliko ule unaoletwa na mifumo mingine yoyote, kiasi kwamba hatimaye wote wanafaidika, si matajiri tu.[11] Critics of capitalism variously associate it with economic instability,[12]
“Capitalism”Archived 27 Agosti 2016 at the Wayback Machine.Oxford Dictionaries. “capitalism. an economic and political system in which a country’s trade and industry are controlled by private owners for profit, rather than by the state.” Retrieved 4 January 2013.
Chris Jenks. Core Sociological Dichotomies. “Capitalism, as a mode of production, is an economic system of manufacture and exchange which is geared toward the production and sale of commodities within a market for profit, where the manufacture of commodities consists of the use of the formally free labor of workers in exchange for a wage to create commodities in which the manufacturer extracts surplus value from the labor of the workers in terms of the difference between the wages paid to the worker and the value of the commodity produced by him/her to generate that profit.” London, England, UK; Thousand Oaks, California, USA; New Delhi, India: SAGE. p. 383.
Heilbroner, Robert L. "capitalism." Durlauf, Steven N.and Lawrence E. Blume, eds., The New Palgrave Dictionary of Economics. 2nd ed. (Palgrave Macmillan, 2008) doi:10.1057/9780230226203.0198
http://www.merriam-webster.com/dictionary/capitalism "an economic system characterized by private or corporate ownership of capital goods, by investments that are determined by private decision, and by prices, production, and the distribution of goods that are determined mainly by competition in a free market"
James Fulcher, Capitalism, A Very Short Introduction, “In one respect there can, however, be little doubt that capitalism has gone global and that is in the elimination of alternative systems.” p. 99, Oxford University Press, 2004, ISBN 978-0-19-280218-7.
Lash, Scott; Urry, John (2000). "Capitalism". Katika Abercrombie, Nicholas; Hill, Stephen; Turner, Bryan S (whr.). The Penguin Dictionary of Sociology (tol.la4th). London: Penguin Books. ku.36–40. ISBN978-0-14-051380-6.
Alperovitz, Gar (2011). America Beyond Capitalism: Reclaiming Our Wealth, Our Liberty, and Our Democracy, 2nd Edition. Democracy Collaborative Press. ISBN 0984785701
Block, Fred; Somers, Margaret R. (2014). The Power of Market Fundamentalism: Karl Polyani's Critique. Cambridge, MA: Harvard University Press. ISBN978-0-674-05071-6. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
Harvey, David (2014). Seventeen Contradictions and the End of Capitalism. Oxford University Press. ISBN019936026X.
Mander, Jerry (2012). The Capitalism Papers: Fatal Flaws of an Obsolete System. Counterpoint. ISBN1619021587.
Mayfield, Anthony. "Economics", in his On the Brink: Resource Depletion, Debt Collapse, and Super-technology ([Vancouver, B.C.]: On the Brink Publishing, 2013), pp.50–104. N.B.: The author, as well, frequently discusses aspects of economics and capitalism elsewhere (passim.) in the book.
Panitch, Leo, and Sam Gindin (2012). The Making of Global Capitalism: the Political Economy of American Empire. London: Verso. ISBN 978-1-84467-742-9
Piketty, Thomas (2014). Capital in the Twenty-First Century. Cambridge, MA: Belknap Press. ISBN067443000X. {{cite book}}: Invalid |ref=harv (help)
Polanyi, Karl (2001). The Great Transformation: The Political and Economic Origins of Our Time.Beacon Press; 2 edition. ISBN 080705643X
Roberts, Paul Craig (2013). The Failure of Laissez-faire Capitalism: towards a New Economics for a Full World. Atlanta, Ga.: Clarity Press. ISBN 978-0-9860362-5-5
Hessen, Robert (2008). Capitalism. The Concise Encyclopedia of Economics (tol.la2nd). Library of Economics and Liberty. ISBN978-0865976658. OCLC237794267.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Ubepari kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Wikiwand in your browser!
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.