Timbaland

From Wikipedia, the free encyclopedia

Timbaland

Timothy Zachery Mosley (amezaliwa tar. 10 Machi 1971)[1] ni mshindi wa Tuzo za Grammy-akiwa kama mtayarishaji wa rekodi, mwimbaji na rapa bora kutoka nchini Marekani. Timbaland ametayarisha maalbamu na masingle kibao ya wasanii tangu katikati mwa miaka ya 1990 mpaka leo hii.

Ukweli wa haraka Jina la kuzaliwa, Pia anajulikana kama ...
Timbaland
Jina la kuzaliwa Timothy Zachery Mosley
Pia anajulikana kama DJ Timmy Tim, Timbo, Thomas Crown
Amezaliwa 10 Machi 1971 (1971-03-10) (umri 53)
Asili yake Virginia Beach, Virginia, United States
Aina ya muziki Hip hop, R&B, pop, rock
Kazi yake Mtayarishaji wa rekodi, mtunzi wa nyimbo, mwimbaji, mwanamuziki, rapa
Ala Gitaa, Besi gitaa, mandolin, kinanda, kurap, sauti, kugonga biti, vocoder, ngoma
Aina ya sauti Besi
Miaka ya kazi 1993—mpaka sasa
Studio Blackground, Mosley Music, Interscope
Ame/Wameshirikiana na Timbaland & Magoo
Funga
Thumb
Timbaland (2010)

Kazi ya kwanza ya Timbaland ambayo imempa sifa kubwa ni ile ya mwaka wa 1996 kwenye Ginuwine...the Bachelor ya mwimbaji wa R&B Ginuwine. Baada ya kupata mafanikio makubwa kwa kazi ya albamu ya Aaliyah ya 1996, One in a Million na albamu ya Missy Elliott ya 1997, Supa Dupa Fly, Timbaland akawa mtayarishaji maarufu sana kwa upande wasanii wa R&B na hip-hop. Awali alitoa albamu kadhaa kwa ajili ya rapa mwenzi wake Magoo.

Diskografia

Makala kuu: Diskografia ya Timbaland
  • 1997: Welcome to Our World 1
  • 1998: Tim's Bio: Life from da Bassment
  • 2001: Indecent Proposal 1
  • 2003: Under Construction, Part II 1
  • 2007: Shock Value
  • 2009: Shock Value 2

1 with Magoo , Rene' Diamond Hilton

Marejeo

Viungo vya nje

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.