From Wikipedia, the free encyclopedia
Thawi ni kata ya Wilaya ya Kondoa katika Mkoa wa Dodoma, Tanzania, yenye postikodi namba 41707[1].
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 11,932 [2]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10799 [3] waishio humo.
Baadhi ya vijiji vya kata ya Thawi vyenye shule ya msingi ni Thawi yenyewe, Thawi Juu, Sakami na Kwamadebe. Asilimia kubwa za wakazi wa kata ya Thawi ni Waalagwa.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.