Pompili Maria Pirrotti
From Wikipedia, the free encyclopedia
Pompili Maria Pirrotti, S.P. (Montecalvo Irpino, Avellino, 29 Septemba 1710 - Campi Salentina, Lecce, 15 Julai 1766) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki maarufu kwa ugumu wa maisha na kama mwalimu na mhubiri huko Italia Kusini[1].

Alitangazwa na Papa Leo XIII kuwa mwenye heri tarehe 26 Januari 1880, halafu Papa Pius XI alimtangaza mtakatifu tarehe 19 Machi 1934.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.