Italia Kusini
From Wikipedia, the free encyclopedia
Italia Kusini ni sehemu ya Italia bara[1] inayoundwa na mikoa ya Abruzzo, Basilicata, Calabria, Campania, Molise na Puglia.

Kwa jumla ni km2 73,223 na wakazi ni 14,118,477[2]
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.