Maralal

From Wikipedia, the free encyclopedia

Maralal

Maralal ni mji wa Kenya katika Bonde la Ufa la Afrika Mashariki, kaunti ya Samburu. Ni kata ya Eneo bunge la Pokot Kusini, nchini Kenya[1].

Thumb
Mji wa Maralal
Ukweli wa haraka Nchi, Kaunti ...
Maralal
Thumb
Maralal

Mahali pa mji wa Maralal katika Kenya

Majiranukta: 1°6′0″N 36°42′0″E
Nchi Kenya
Kaunti Samburu
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 35,472
Funga

Wakati wa sensa ya mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 35,472[2].

Tanbihi

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.