From Wikipedia, the free encyclopedia
Krakov (kwa lugha ya Kipolandi: Kraków, Kiingereza: Cracow, Kilatini: Cracovia) ni mji wa Poland. Mji huo ulikuwa na watu 759,144 mwaka wa 2014.[1] [2] Krakov ilikuwa mji mkuu wa Poland kuanzia mwaka wa 1038 hadi 1596.
Krakov | |
Mahali pa Krakov katika Earth |
|
Majiranukta: 50°04′00″N 19°56′00″E | |
Nchi | Poland |
---|---|
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 759 800 (30.06.2014) |
Tovuti: http://www.krakow.pl/ |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.