Remove ads

Kanisa Katoliki la Wakopti ni mojawapo kati ya madhehebu ya Ukristo wa mashariki yenye ushirika kamili na Papa na Kanisa Katoliki lote.

Linafuata mapokeo ya Aleksandria na kutumia liturujia ya Misri.

Patriarki wake ni askofu mkuu pekee, akiwa na majimbo nane chini yake: Abu Qurqas, Assiut, Guizeh (Gizah), Ismayliah, Luqsor (Luxor), Minya na Sohag. Mwenyewe anatumia jina la jimbo la Aleksandria, ingawa makao makuu yako Cairo.

Waamini wote ni 187,320 (2017).

Remove ads

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kanisa Katoliki la Wakopti kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.

Remove ads