From Wikipedia, the free encyclopedia
Jimbo la Yamoussoukro au Jimbo huru la Yamoussoukro (kwa Kifaransa: District autonome de Yamoussoukro) ni moja kati ya majimbo 14 za nchini Cote d'Ivoire na ni moja kati ya majimbo huru mbili za nchi. Uko katikati ya nchi.
Jimbo la Yamoussoukro | |
Eneo katika Côte d'Ivoire |
|
Majiranukta: 6°48′32″N 5°16′23″W | |
Nchi | Cote d'Ivoire |
---|---|
Jimbo | Yamoussoukro |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 355,573 |
Mwaka 2014 idadi ya wakazi ilikuwa watu 355,573.
Makao makuu yako Yamoussoukro.
Makala hii kuhusu maeneo ya Cote d'Ivoire bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Yamoussoukro kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.