Jimbo Katoliki la Moshi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Jimbo Katoliki la Moshi

Jimbo Katoliki la Moshi (kwa Kilatini "Dioecesis Moshiensis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na jimbo kuu la Arusha.

Askofu wake Isaac Amani Massawe, alihamishiwa Arusha kama askofu mkuu mwaka 2018.

Tarehe 2 Desemba 2019 askofu Ludovic Minde alihamishwa kutoka Kahama kwenda Moshi.

Historia

Uongozi

  • Maaskofu wa Moshi
  • Vicar Apostolic wa Moshi
    • Joseph James Byrne CSSp (1932 – 1953)
    • Henry Aloysius Gogarty CSSp (1923 – 1931)
    • Marie-Joseph-Aloys Munsch CSSp (1910 – 1922)

Takwimu

Eneo ni la kilometa mraba 5,029, ambapo kati ya wakazi 950,000 (2006) Wakatoliki ni 674,541 (71.0%).

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Katoliki la Moshi kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.