Jakuto
From Wikipedia, the free encyclopedia
Jakuto (pia: Jacut; Jagu, Yagu; Welisi au Cornwall, Uingereza, 455 hivi - Bretagne, Ufaransa, karne ya 6) alikuwa mmonaki anayetajwa kama mwanzilishi wa monasteri ya Landoac nchini Ufaransa[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu kama pacha wake Gwetnoko na mdogo wao Vinvaleo.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Februari[2].
Tazama pia
Tanbihi
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.