Gwetnoko

From Wikipedia, the free encyclopedia

Gwetnoko

Gwetnoko (pia: Guéthenoc, Guethnoc, Gueznec, Wethenoc, Wethnoc, Guethenoc, Guéthnec, Guézennec, Gwezheneg, Guéhénec, Guéhenneuc, Guennec, Guinou, Guinnous, Guithénoc, Guéhenocus, Guénoc, Guéneuc, Guinau, Venec, Vennec, Vinec, Veneuc, Venoc, Wihenoc, Wéthénoc, Ethinoc, Ithinouc, Hinec, Izinieux, Ithizieux, Gueveneux[1][2]; Welisi au Cornwall, Uingereza, 455 hivi - Bretagne, Ufaransa, karne ya 6) alikuwa mmonaki aliyelelewa na Budoc wa Dol nchini Ufaransa [3].

Thumb
Sanamu ya mama yake akiwa na wanae.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu kama pacha wake Jakuto, mdogo wao Vinvaleo na wazazi wao, Fragan na Gwen.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Novemba[4].

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.