From Wikipedia, the free encyclopedia
Herode Antipa (kwa Kigiriki Ἡρῴδης Ἀντίπατρος, Hērǭdēs Antipatros) alikuwa mtawala wa Galilaya na Perea katika karne ya 1. Alizaliwa na mfalme Herode Mkuu kabla ya mwaka 20 KK – akafariki uhamishoni[1] baada ya mwaka 39 BK).
Herode Antipa | |
---|---|
| |
Kazi yake | alikuwa mtawala wa Galilaya |
Anajulikana hasa kutokana na habari zake zinazosimuliwa katika Agano Jipya ambamo Injili, hasa ile ya Luka zinaeleza alivyoagiza Yohane Mbatizaji akatwe kichwa na alivyomrudisha Yesu kwa Ponsyo Pilato siku ya Ijumaa Kuu ya mwaka 30 hivi.
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Herode Antipa kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.