Grand Theft Auto (GTA) ni mfululizo wa michezo iliyoundwa na David Jones na Mike Dailly. Michezo hii iliundwa na Rockstar North na kuchapishwa na Rockstar Games. Jina la mfululizo linaelezea neno ambalo linatumika Marekani kwa wizi wa magari.

Thumb
Nembo ya Grand Theft Auto.

Mfululizo wa Grand Theft Auto umewekwa kwa vipindi tofauti vya muda. Grand Theft Auto awali iliingizwa katika miji mikuu mitatu: Liberty city (kulingana na maeneo ya mji wa New York), Vice City, na San Andreas (kulingana na maeneo mengi ya California).

Michezo ya GTA inaweza kuchezeka katika vifaa vifuatavyo:

Wikiwand in your browser!

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.

Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.