From Wikipedia, the free encyclopedia
Jayceon Terrell Taylor (amezaliwa tar. 29 Novemba 1979) ni rapa na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Game. Game alianza kujipatia umaarufu wake kunako mwaka wa 2005, pale alipotoa albamu yake ya kwanza " the documentary" iliyompatia mafanikio makubwa kabisa.the game pia yupo kwenye kikundi cha west coast ambacho pia wapo wakina snoop dogg na muazilishi wake tupac na imrani mashanga [3][4][5] Albamu ilikwenda kwa jina la The Documentary,na ikaweza kujishindia Tuzo mbili za Grammy ikiwa kama albamu bora ya rap na hip hop kwa mwaka wa 2005. Tangu hapo, akawa anafikiriwa kuwa anarudisha kwa nguvu ule muziki wa hip hop wa West Coast kwa mashindano na majigambo na baadhi ya rapa wengine wa East Coast.
Game akiwa katika utayarishaji wa video yake. | |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Jayceon Terrell Taylor[1][2] |
Pia anajulikana kama | Chuck Taylor Hurricane Game Murda Game Starface |
Amezaliwa | 29 Novemba 1979 Los Angeles, California[1] |
Asili yake | Compton, California |
Aina ya muziki | West Coast hip hop |
Kazi yake | Rapa Mwanamuziki Mwigizaji |
Studio | Geffen Interscope The Black Wall Street |
Ame/Wameshirikiana na | The Black Wall Street Snoop Dogg Busta Rhymes Dr. Dre Nas Keyshia Cole Westside Connection Lil Wayne Kanye West |
Tovuti | www.ThisIzGame.com |
Mbali na kutoa albamu ya kwanza na ya pili na pia kuweza kushika nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 bora, Game amepata kuhusishwa na masuala ya ugomvi na baadhi ya marapa wenzake. Muziki anaofanya ni ule muziki wa kihuni sana ambao mara nyingi unafanywa na kujulikana zao katika mji wa kwao wa huko Compton, California.
game amezaliwa kwa jina la Jayceon Terrell Taylor huko los angeles, california na kukulia compton,california.Alitumia maisha yake mengi kukaa kwenye crip gang eneo ambalo linaitwa Santana Blocc.Ingawa alikulia kwenye jamiii ya bloods.Baada ya kumaliza shule ya secoundary compton mwaka 1999 the game alijiunga na chuo cha washington state kutokana na basketball lakini alifukuzwa shule wakati wa mwaka wa kwanza kutokana na madawa ya kulevyia hapa ndipo akaaanza maisha ya mtaani kwa kuuuza madawa ya kulevyia na pastola.Wakati akiwa na miaka kumi na nane the game alianza kufuata nyayo za kaka yake wa kambo big face 100ambaye alikuwa ni mkumbwa wa kundi lake linaloitwa Cedar Block Pirus.
Mwaka | Jina la filamu | Jina alilotumia | Maelezo |
---|---|---|---|
2004 | Grand Theft Auto: San Andreas | B Dup | Video game, sauti tu |
Life in a Day: The DVD | The Game | kipande kidogo | |
2005 | The Documentary DVD | The Game | |
Beef 3 | The Game | kipande kidogo | |
2006 | Stop Snitchin, Stop Lyin' DVD | The Game | |
Waist Deep | Big Meat | ||
Doctor's Advocate DVD | The Game | ||
2007 | Def Jam: Icon | The Game | Video game, sauti tu |
Tournament of Dreams | — | ||
Beef 4 | The Game | kipande kidogo | |
2008 | Street Kings | Grill | |
Belly 2: Millionaire Boyz Club | G |
2005, Mwanamiziki bora mpya [alichaguliwa] 2005, mshirikishaji bora wa nyimbo("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 cent [alichaguliwa]
2006, nyimbo bora ya rap ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa] 2006, uigizaji bora wa rap kwenye kundi ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa]
2005,video bora ya rap ("Hate It or Love It") kwa kumshirikisha 50 Cent [alichaguliwa]
2008, Mwanamuziki bora wa west Coast rap [alishinda] 2007,Albumi bora ya West Coast rap("Doctor's Advocate") [alishinda]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.