Eneo bunge la Changamwe
From Wikipedia, the free encyclopedia
Eneo bunge la Changamwe ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Mombasa, likiwa miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo. Jimbo hili lina wodi nane na zote huchagua madiwani kwa baraza la munisipali ya Mombasa.
Jamhuri ya Kenya |
![]() Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1969.
Wabunge
Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1969 | David M. Kioko | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Ferdinard Mwaro | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | David M. Kioko | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Joseph Kennedy Kiliku | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Joseph Kennedy Kiliku | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Joseph Kennedy Kiliku | KANU | |
1997 | Ramadhan Seif Kajembe | KANU | |
2002 | Ramadhan Seif Kajembe | NARC | |
2007 | Ramadhan Seif Kajembe | ODM | |
Kata
Tazama Pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.