Dubu barafu

From Wikipedia, the free encyclopedia

Dubu barafu

Dubu barafu (Ursus maritimus, pia huitwa: Dubu Akitiki) ni dubu mkubwa mweupe wa duara ya Akitiki.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dubu barafu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...
Dubu barafu
Dubu barafu (Ursus maritimus)
Dubu barafu (Ursus maritimus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Nusungeli: Eutheria
Oda: Carnivora (Wanyama mbua)
Nusuoda: Caniformia (Wanyama kama mbwa)
Familia: Ursidae (Dubu)
Nusufamilia: Ursinae (Wanyama wanaofanana na dubu kahawia)
Jenasi: Ursus
Linnaeus, 1758
Spishi: U. maritimus
Phipps, 1774
Msambao wa dubu barafu (kijani)
Msambao wa dubu barafu (kijani)
Funga
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.