From Wikipedia, the free encyclopedia
Kuhusu makundinyota tazama Dubu Mkubwa na Dubu Mdogo
Dubu | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Dubu Kahawia Ursus arctos | ||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Nusufamilia 3, jenasi 5:
| ||||||||||||||
Dubu (kutoka Kiarabu الدب al-dubb , jina la kisayansi ni Ursidae, ing. bears) ni wanyama wakubwa wenye manyoya mengi.
Dubu wengi hupenda uoto wa asili kama makazi yao makuu kuwapa chakula chao kama asali na matunda.
![]() |
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dubu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.