Kuhusu makundinyota tazama Dubu Mkubwa na Dubu Mdogo
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Dubu |
Dubu Kahawia Ursus arctos |
Uainishaji wa kisayansi |
Himaya: |
Animalia (Wanyama)
|
Faila: |
Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
|
Ngeli: |
Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
|
Nusungeli: |
Eutheria
|
Oda: |
Carnivora, (Wanyama mbua)
|
Nusuoda: |
Caniformia (Wanyama kama mbwa)
|
Familia: |
Ursidae Fisher de Waldheim, 1817 |
|
Ngazi za chini |
Nusufamilia 3, jenasi 5:
- Ailuropodinae Grevé, 1894
- Ailuropoda Milne-Edwards, 1870
- Tremarctinae Merriam & Stock, 1925
- Ursinae Swainson, 1835
- Helarctos Horsfield, 1825
- Melursus Meyer, 1793
- Ursus Linnaeus, 1758
|
Funga
Dubu (kutoka Kiarabu الدب al-dubb , jina la kisayansi ni Ursidae, ing. bears) ni wanyama wakubwa wenye manyoya mengi.
Dubu wengi hupenda uoto wa asili kama makazi yao makuu kuwapa chakula chao kama asali na matunda.
- Familia Ursidae
- Nusufamilia Ailuropodinae
- †Ailurarctos
- †Ailurarctos lufengensis
- †Ailurarctos yuanmouenensis
- Ailuropoda (pandas)
- †Ailuropoda baconi
- †Ailuropoda fovealis
- Panda Mkubwa, Ailuropoda melanoleuca (Giant Panda)
- †Ailuropoda microta
- †Ailuropoda wulingshanensis
- Nusufamilia Tremarctinae
- Tremarctos (Dubu-miwani)
- †Arctodus
- †Arctodus simus
- †Arctodus pristinus
- †Arctotherium
- †Arctotherium angustidens
- †Arctotherium bonariense
- †Arctotherium brasilense
- †Arctotherium latidens
- †Arctotherium tarijense
- †Arctotherium vetustum
- †Arctotherium wingei
- †Plionarctos
- †Plionarctos edensis
- †Plionarctos harroldorum
- Nusufamilia Ursinae
- †Agriotherium
- †Agriotherium inexpetans
- †Agriotherium schneideri
- †Agriotherium sivalensis
- Helarctos
- Dubu-jua, Helarctos malayanus (Sun Bear)
- Helarctos malayanus malayanus
- Dubu-jua wa Borneo, Helarctos malayanus euryspilus, (Borneo Sun Bear)
- †Indarctos
- †Indarctos anthraciti
- †Indarctos arctoides
- †Indarctos atticus
- †Indarctos nevadensis
- †Indarctos oregonensis
- †Indarctos salmontanus
- †Indarctos vireti
- †Indarctos zdanskyi
- Melursus
- †Ursavus
- †Ursavus brevirhinus
- †Ursavus depereti
- †Ursavus elmensis
- †Ursavus pawniensis
- †Ursavus primaevus
- Ursus
- †Ursus abstrusus
- Dubu Mweusi wa Amerika, Ursus americanus (American Black Bear)
- Dubu Mweusi wa Olimpo Ursus americanus altifrontalis, (Olympic black bear)
- Dubu Mweusi wa Mexiko Mpya, Ursus americanus amblyceps, (New Mexico black bear)
- Dubu Mweusi wa Mashariki, Ursus americanus americanus, (Eastern Black Bear)
- Dubu Mweusi wa Kalifornia, Ursus americanus californiensis, (California Black Bear)
- Dubu Mweusi wa Malkia Charlotte, Ursus americanus carlottae, (Queen Charlotte Black Bear)
- Dubu-dalasini, Ursus americanus cinnamomum (Cinnamon Bear)
- Dubu Mlima-Barafu, Ursus americanus emmonsii, (Glacier bear)
- Dubu Mweusi wa Mexiko, Ursus americanus eremicus (Mexican black bear)
- Dubu Mweusi wa Florida, Ursus americanus floridanus (Florida Black Bear)
- Dubu Mweusi wa Newfoundland, Ursus americanus hamiltoni, (Newfoundland Black Bear)
- Dubu Mweupe, Ursus americanus kermodei (Kermode bear)
- Dubu Mweusi wa Lousiana, Ursus americanus luteolus (Louisiana Black Bear)
- Dubu Mweusi wa Mexiko wa Magharibi, Ursus americanus machetes (West Mexico black bear)
- Dubu Mweusi wa Kenai, Ursus americanus perniger (Kenai black bear)
- Dubu Mweusi wa Dall, Ursus americanus pugnax (Dall black bear)
- Dubu Mweusi wa Vancouver, Ursus americanus vancouveri (Vancouver Island black bear)
- Dubu Kahawia, Ursus arctos, (Brown Bear)
- Dubu Kahawia wa Ulaya, Ursus arctos arctos (Eurasian Brown Bear)
- Ursus arctos alascensis
- Dubu Kahawia wa Kamchatka, Ursus arctos beringianus (Kamchatka Brown Bear)
- †Dubu Dhahabu wa Kalifornia, Ursus arctos californicus (California Golden Bear)
- †Dubu wa Atlas, Ursus arctos crowtheri (Atlas Bear)
- †Ursus arctos dalli
- Dubu wa Gobi, Ursus arctos gobiensis (Gobi Bear)
- Dubu Kijivu, Ursus arctos horribilis (Grizzly Bear)
- Dubu Mwekundu wa Himalaya, Ursus arctos isabellinus (Himalayan Red Bear)
- Dubu Kahawia wa Ussuri, Ursus arctos lasiotus (Ussuri Brown Bear)
- Dubu wa Alaska, Ursus arctos middendorffi (Kodiak Bear)
- †Dubu Kijivu wa Mexiko, Ursus arctos nelsoni (Mexican Grizzly Bear)
- Dubu wa Bergman, Ursus arctos piscator, (Bergman's bear)
- Dubu Buluu wa Himalaya, Ursus arctos pruinosus (Himalayan Blue Bear)
- Ursus arctos sitkensis
- Dubu wa Syria, Ursus arctos syriacus (Syrian Bear)
- †Ursus deningeri
- †Ursus etruscus
- †Ursus minimus
- Dubu Barafu, Ursus maritimus, (Polar Bear)
- Ursus maritimus maritimus
- †Ursus maritimus tyrannus
- †Ursus rossicus
- †Ursus sackdillingensis
- †Dubu wa Pango, Ursus spelaeus (Cave Bear)
- Dubu Doa-mwezi, Ursus thibetanus (Moon Bear)
- Dubu Mweusi wa Formosa, Ursus thibetanus formosanus (Formosan Black Bear)
- Ursus thibetanus gedrosianus
- Ursus thibetanus japonicus
- Ursus thibetanus lanigero
- Ursus thibetanus mupinensis
- Ursus thibetanus thibetanus
- Ursus thibetanus ussuric
Panda mkubwa
Dubu-jua
Dubu mvivu
Dubu mweusi
Dubu kahawia
Dubu-barafu
Dubu Doa-mwezi
|
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dubu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |