From Wikipedia, the free encyclopedia
COBOL ni lugha ya programu. Iliundwa na Howard Bromberg, Howard Discount, Vernon Reeves, Jean E. Sammet, William Selden, Gertrude Tierney na Mary K. Hawes na ilianzishwa tarehe 18 Septemba 1959. Iliundwa ili kuumba programu kwa benki na biashara. Leo tunatumia COBOL 2014. Ilivutwa na C++.
COBOL | |
---|---|
Shina la studio | namna : namna ya utaratibu
inaozingatiwa kuhusu kipengee |
Imeanzishwa | Septemba 18 1959 |
Mwanzilishi | Howard Bromberg, Howard Discount, Vernon Reeves, Jean E. Sammet, William Selden, Gertrude Tierney, Mary K. Hawes |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: AIMACO, C++, COMTRAN, Eiffel, FACT, FLOW-MATIC, Smalltalk
Ilivuta: CobolScript, EGL, PL/I, PL/B |
Mahala | Short Range Committee |
Tovuti | https://www.cobol-it.com/ |
Inaitwa COBOL kwa sababu ni kifupi cha maneno "common business-oriented language"
Ilianzishwa 18 Septemba 1959 nchini Marekani. Lakini Howard Bromberg, Howard Discount, Vernon Reeves, Jean E. Sammet, William Selden, Gertrude Tierney na Mary K. Hawes walianza kufanya kazi kuhusu COBOL mwaka wa 1958.
Namna ya COBOL ni namna ya utaratibu na inaozingatiwa kuhusu kipengee.
Sintaksia ya COBOL ni ngumu sana kinyume cha lugha za programu nyingine kama JavaScript, Python au Ruby. Ilivutwa na sintaksia ya COMTRAN, lugha ya programu nyingine.
Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».
000100 IDENTIFICATION DIVISION.
000200 PROGRAM-ID. SALUTTOUS.
000300 DATE-WRITTEN. 21/05/05 19:04.
000400 AUTHOR UNKNOWN.
000500 ENVIRONMENT DIVISION.
000600 CONFIGURATION SECTION.
000700 SOURCE-COMPUTER. RM-COBOL.
000800 OBJECT-COMPUTER. RM-COBOL.
000900
001000 DATA DIVISION.
001100 FILE SECTION.
001200
100000 PROCEDURE DIVISION.
100100
100200 DEBUT.
100300 DISPLAY " " LINE 1 POSITION 1 ERASE EOS.
100400 DISPLAY "Jambo ulimwengu !" LINE 15 POSITION 10.
100500 STOP RUN.
Programu nyingine kwa kuchapa "Jambo ulimwengu !" (COBOL-85)
Identification division.
Program-id. Hello.
Procedure division.
Display "Jambo ulimwengu !" line 15 position 10.
Stop run.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.