From Wikipedia, the free encyclopedia
JavaScript ni lugha ya programu. Iliundwa na Brendan Eich na ilianzishwa 4 Desemba 1995. Leo tunatumia Javascript kusudi kuzijenga tovuti. Ilivutwa na Python.
JavaScript | |
---|---|
Shina la studio | namna :namna nyingi |
Imeanzishwa | Desemba 4 1995 |
Mwanzilishi | Brendan Eich |
Ilivyo sasa | Ilivutwa na: AWK[5], C, HyperTalk, Java[6], Lua, Perl, Python, Scheme, Self
Ilivuta: ActionScript, AtScript, CoffeeScript, Dart, JScript .NET, LiveScript, Objective-J, Opa, QML, Raku, TypeScript |
Mahala | Netscape Communications Corporation, Mozilla Foundation, Ecma International |
Ilianzishwa 4 Desemba 1995 katika Netscape. Kisha Ilitelekezwa katika Microsoft 1996.
Namna ya JavaScript ni namna nyingi.
Sintaksia ya JavaScript ni rahisi sana.
Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu ! ».
consol.log("Jambo ulimwengu !");
Programu kwa kuhesabu factoria ya nambari moja.
function factorial(n) {
if (n === 0)
return 1; // 0! = 1
return n * factorial(n - 1);
}
factorial(3); // returns 6
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.