From Wikipedia, the free encyclopedia
Société Nationale Malgache de Transports Aériens (inayojulikana kama Air Madagascar) ni kampuni ya ndege iliyo mjini Antananarivo. Ni kampuni ndege ya kitaifa inayohudumu nchi za Uropa, Asia na Afrika. Makao yake makuu ni kwenye Uwanja wa Ndege wa Ivato.
![]() | ||||
| ||||
Kimeanzishwa | 1962 | |||
---|---|---|---|---|
Vituo vikuu | Ivato International Airport | |||
Programu kwa wateja wa mara kwa mara | Namako | |||
Ndege zake | 13 | |||
Shabaha | 47 | |||
Makao makuu | Antananarivo, Madagascar | |||
Watu wakuu | Heriniaina Razafimahefa (Chairman) | |||
Tovuti | www.airmadagascar.com |
Mnamo Oktoba 2021, Air Madagascar, iliyowekwa chini ya upokeaji, itaungana na kampuni yake tanzu ya Tsaradia kuwa Shirika la ndege la Madagascar.
Air Madagascar ilianzishwa mnamo Machi 1947 na Transports Aériens Intercontinentaux.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.