Zama za MaweFrom Wikipedia, the free encyclopedia Zama za Mawe (pia: Mhula wa mawe[1]) zilikuwa kipindi kirefu cha historia ya awali ya binadamu. Jina hilo linatokana na kwamba wakati huo watu walitumia vifaa vya mawe kwa shughuli zao za kila siku. Mawe yaliyochongwa kuwa na kona kali kwa matumizi kama kisu. Mtu wa zama za mawe akikata mti.
Zama za Mawe (pia: Mhula wa mawe[1]) zilikuwa kipindi kirefu cha historia ya awali ya binadamu. Jina hilo linatokana na kwamba wakati huo watu walitumia vifaa vya mawe kwa shughuli zao za kila siku. Mawe yaliyochongwa kuwa na kona kali kwa matumizi kama kisu. Mtu wa zama za mawe akikata mti.