From Wikipedia, the free encyclopedia
Yoana Jugan (kwa Kifaransa Jeanne Jugan; utawani: Maria wa Msalaba; Cancale, Ille-et-Vilaine, 25 Oktoba 1792 – Saint-Pern, Ille-et-Vilaine, 29 Agosti 1879) alikuwa mtawa Mfaransa aliyeanzisha shirika la Masista Wadogo wa Fukara ili kuhudumia wazee wenye mashaka makubwa zaidi.
Alipoondolewa uongozi wa shirika kinyume cha haki, aliendelea kumtumikia Mungu kwa sala na unyenyekevu mkubwa [1].
Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 3 Oktoba 1982, halafu mtakatifu na Papa Benedikto XVI tarehe 11 Oktoba 2009.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.