Yemen
From Wikipedia, the free encyclopedia
Yemen (Kiarabu: الجمهورية اليمنية ) ni nchi kusini mwa Bara Arabu.
Ukweli wa haraka
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: Allah, al-Watan, at-Thawra, al-Wehda (Mungu, taifa, mapinduzi, umoja) | |||||
Wimbo wa taifa: Jamhuri ya Maungano | |||||
Mji mkuu | Sana'a 15°21′ N 12°24′ E | ||||
Mji mkubwa nchini | Sana'a | ||||
Lugha rasmi | Kiarabu | ||||
Serikali | Jamhuri Abd Rabbuh Mansur Hadi Khaled Bahah | ||||
Establishment Maungano ya Yemen Kaskazini na Kusini |
22 Mei 1990 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
527,970 km² (50) kidogo sana | ||||
Idadi ya watu - Julai 2018 kadirio - 2004 sensa - Msongamano wa watu |
28,498,683 (48) 19,685,000 44.7/km² (160) | ||||
Fedha | Yemeni rial $1 = 198.13 Rials (YER ) | ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC+3) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .ye | ||||
Kodi ya simu | +967
- |
Funga
Imepakana na Omani, Saudia na Bahari Hindi.
Nchi za karibu ng'ambo ya mlango wa bahari wa Bab el Mandeb ni Eritrea, Jibuti na Somalia.
Eneo lake ni pamoja na kisiwa cha Sokotra na visiwa 200 vingine.