From Wikipedia, the free encyclopedia
Wilaya ya Kasese ni wilaya iliyoko katika Mkoa wa Magharibi, Uganda. Idadi ya wakazi wake ni takriban 649,400.
Wilaya ya Kasese | |
Mahali pa Wilaya ya Kasese katika Uganda | |
Majiranukta: 00°11′S 30°05′E | |
Nchi | Uganda |
---|---|
mji mkuu | Kasese |
Eneo | |
- Jumla | 2,724 km² |
Idadi ya wakazi (2010 Makadirio) | |
- Wakazi kwa ujumla | 649,400 |
Tovuti: http://www.kasese.go.ug |
Wilaya ya Kasese iko katika ukanda wa ikweta. Inapakana na Wilaya ya Kabarole upande wa kaskazini, Wilaya ya Kamwenge upande wa mashariki, Wilaya ya Rubirizi upande wa kusini, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo upande wa magharibi.
Makao makuu ya wilaya yako Kasese, wastani wa km 359 kwa barabara, magharibi mwa Kampala, mji mkuu na mji mkubwa zaidi nchini Uganda.[1]
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.