Wikipedia ya Kiindonesia
From Wikipedia, the free encyclopedia
Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.
Wikipedia ya Kiindonesia au Wikipedia bahasa Indonesia ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kiindonesia. Wikipedia ya Kiindonesia, imekuwa ya tatu kwa ukuaji wa haraka katika orodha ya Wikipedia za lugha za Asia baada ya Wikipedia ya Kichina na Kijapani, na ndiyo kubwa katika nchi zile zinazoendelea (2006) [1].
Na kwa mwezi wa Februari katika mwaka wa 2009, kuliwa na zaidi ya makala 100,000 katika mradi huo wa Wikipedia kwa Kiindonesia.