From Wikipedia, the free encyclopedia
Wikipedia ya Kichina (Kichina: 中文維基百科/中文维基百科) ni toleo la kamusi elezo huru ya Wikipedia kwa lugha ya Kichina. Wikipedia hii ilianzishwa mnamo mwezi wa Oktoba katika mwaka wa 2002. Wikipedia hii ina makala zaidi ya 250,000 kwa mwezi wa Aprili 2009.
Kisara | http://zh.wikipedia.org/ |
---|---|
Ya kibiashara? | Hapana |
Aina ya tovuti | Mradi wa Kamusi Elezo ya Interneti |
Kujisajiri | Hiari |
Lugha asilia | Kichina |
Mmiliki | Wikimedia Foundation |
Mtandao huu ulizuiliwa na Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China[1] Ina wasimamizi 87, wakiwemo 29 kutoka China Bara, 18 kutoka Taiwan, na 15 kutoka Hong Kong.
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.