Uchaguzi mkuu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uchaguzi mkuu ni ule unaofanyika kuchagua kwa kura wote au walau wengi sana kati ya wajumbe wa kundi fulani, hasa bunge la nchi. Uchaguzi wa namna hiyo kwa kawaida unafanyika kila baada ya muda fulani, tofauti na uchaguzi mdogo ambapo anachaguliwa mmoja au wachache kutokana na dharura iliyotokea[1].