Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015
From Wikipedia, the free encyclopedia
Uchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015 ulifanyika tarehe 25 Oktoba. Wapiga kura walimchagua Rais, wabunge na Madiwani.
Ukweli wa haraka Mgombea, Chama ...
| |||||||||||||||||||
| |||||||||||||||||||
|
Funga
Tarehe 29 Oktoba mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli alitangazwa na Tume ya Uchaguzi kuwa mshindi wa kura ya rais, akifuatwa na Lowassa wa Chadema.[2]. Kadiri ya tume hiyo, Magufuli alipata kura 8,882,935, sawa na asilimia 58.46 na Lowassa alipata kura 6,072,848, sawa na asilimia 39.97. Hata hivyo wapinzani walikataa kukubali matokeo hayo na wasimamizi wa uchaguzi kutoka nje walilaumu sana baadhi ya taratibu na matukio.