![cover image](https://wikiwandv2-19431.kxcdn.com/_next/image?url=https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/thumb/3/3b/Long-beakedEchidna.jpg/640px-Long-beakedEchidna.jpg&w=640&q=50)
Mhanganungu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Wahanganungu au ekidna ni wanyama wa familia Tachyglossidae katika oda Monotremata wanaofanana na kalunguyeye. Wanatokea Australia na Nyugini. Wanyama hawa pamoja na kinyamadege ni mamalia pekee wanaobaki ambao bado wanataga mayai. Lakini kinyume na wanyama wengine wanaotaga mayai, wananyonyesha watoto wao.
Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi, Ngazi za chini ...
Mhanganungu | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Mhanganungu pua-ndefu magharibi (Zaglossus bruijni) | ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
Jenasi 2, spishi 4:
| ||||||||||||
Funga