From Wikipedia, the free encyclopedia
San Jose (IPA: sænhoʊˈzeɪ) ni mji mkubwa wa jimbo la Kalifornia (Marekani) na pia mji mkubwa wa tatu jimboni. Iko kusini kabisa ya mji wa San Francisco.
Jiji la San Jose | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | California |
Wilaya | Santa Clara |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 939,899 |
Tovuti: www.sanjoseca.gov |
Idadi ya wakazi ni 989,496 na pamoja na rundiko la mji ni watu milioni saba.
Jina la San Jose ni la Kihispania, maana yake ni "Mtakatifu Yosefu". Jina lake linatokana na lile la misheni ya Ndugu Wadogo iliyoanzishwa kwa heshima ya mtakatifu huyo.
Makala hii kuhusu maeneo ya California bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu San Jose, California kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.