Sala kwa Bikira MariaFrom Wikipedia, the free encyclopedia Sala kwa Bikira Maria zinatolewa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali[1][2] na kukataliwa na baadhi ya wengine[3]. Madonna na malaika watano, Botticelli, 1485 hivi. Pamoja na tofauti katika msimamo huo wa msingi, namna pia ni nyinginyingi. Baadhi zilizo maarufu ni: Angelus Antifona Alma Redemptoris Mater Ave Regina caelorum Salve Regina Regina caeli Magnificat Memorare Rozari Tenzi Akathistos
Sala kwa Bikira Maria zinatolewa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali[1][2] na kukataliwa na baadhi ya wengine[3]. Madonna na malaika watano, Botticelli, 1485 hivi. Pamoja na tofauti katika msimamo huo wa msingi, namna pia ni nyinginyingi. Baadhi zilizo maarufu ni: Angelus Antifona Alma Redemptoris Mater Ave Regina caelorum Salve Regina Regina caeli Magnificat Memorare Rozari Tenzi Akathistos