Rufina na Sekunda
From Wikipedia, the free encyclopedia
Rufina na Sekunda (walifariki karibu na Roma, Italia, 257) walikuwa Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Valeriani[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.