tarehe From Wikipedia, the free encyclopedia
Tarehe 10 Julai ni siku ya 191 ya mwaka (ya 192 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 174.
Jun - Julai - Ago | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Felisi, Filipo na wenzao, Rufina na Sekunda, Anatolia na Viktoria, Januari na Marino, Apoloni wa Sardi, Leonsi, Morisi na wenzao, Bianori na Silvani, Paskari wa Nantes, Amalberga wa Maubeuge, Petro Vincioli, Kanuti IV, Antoni Nguyen Quynh, Petro Nguyen Khac Tu n.k.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 10 Julai kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Every time you click a link to Wikipedia, Wiktionary or Wikiquote in your browser's search results, it will show the modern Wikiwand interface.
Wikiwand extension is a five stars, simple, with minimum permission required to keep your browsing private, safe and transparent.