Pierre Nkurunziza
From Wikipedia, the free encyclopedia
Pierre Nkurunziza (18 Desemba 1963 - 8 Juni 2020) alikuwa mwanasiasa kutoka nchini Burundi, na rais wa taifa hilo tangu mwaka 2005 hadi kifo chake.
Ukweli wa haraka Makamu wa Rais, mtangulizi ...
Pierre Nkurunziza | |
Rais wa Burundi | |
Muda wa Utawala 26 Agosti 2005 ā 8 Juni 2020 | |
Makamu wa Rais | Martin Nduwimana Yves Sahinguvu Terence Sinunguruza & Gervais Rufyikiri |
---|---|
mtangulizi | Domitien Ndayizeye |
tarehe ya kuzaliwa | 18 Desemba 1963 (1963-12-18) (umri 60) Bujumbura, Burundi |
tarehe ya kufa | 8 Juni 2020 |
chama | Baraza la Kitaifa kwa kutetea demokrasia, Burundi (CNDD-FDD) |
ndoa | Denise Bucumi |
watoto | 5 |
mhitimu wa | Chuo Kikuu cha Burundi |
dini | Ukristo, Uprotestanti |
signature |
Funga
Alikuwa mwenyekiti wa chama cha Baraza la Kitaifa la Kutetea Demokrasia, Burundi (CNDD-FDD) hadi kuchaguliwa kuwa rais.
Tarehe 13 Mei 2015 kundi la wanajeshi wa nchi walitangaza kupinduliwa kwake,[1] lakini saa chache baadaye wakakamatwa.