Papa Yohane XIXFrom Wikipedia, the free encyclopedia Papa Yohane XIX alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Aprili 1024 hadi kifo chake mnamo 1032[1]. Papa Yohane XIX. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Romanus wa ukoo wa watawala wa Tusculum, Roma, Italia[2]. Alimfuata Papa Benedikto VIII akafuatwa na Papa Benedikto IX.
Papa Yohane XIX alikuwa Papa kuanzia tarehe 19 Aprili 1024 hadi kifo chake mnamo 1032[1]. Papa Yohane XIX. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Romanus wa ukoo wa watawala wa Tusculum, Roma, Italia[2]. Alimfuata Papa Benedikto VIII akafuatwa na Papa Benedikto IX.