Papa Benedikto VIII
From Wikipedia, the free encyclopedia
Papa Benedikto VIII alikuwa Papa kuanzia tarehe 18 Mei 1012 hadi kifo chake tarehe 9 Aprili 1024[1].
Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Theophylactus wa ukoo wa watawala wa Tusculum, Roma, Italia[2]. .
Alimfuata Papa Sergio IV akafuatwa na Papa Yohane XIX.