Papa Yohane IXFrom Wikipedia, the free encyclopedia Papa Yohane IX, O.S.B. alikuwa Papa kuanzia Desemba 897 au Januari 898 hadi kifo chake mnamo Januari/Mei 900[1]. Alitokea Tivoli, Lazio, Italia[2]. Papa Yohane IX. Alimfuata Papa Theodori II akafuatwa na Papa Benedikto IV.
Papa Yohane IX, O.S.B. alikuwa Papa kuanzia Desemba 897 au Januari 898 hadi kifo chake mnamo Januari/Mei 900[1]. Alitokea Tivoli, Lazio, Italia[2]. Papa Yohane IX. Alimfuata Papa Theodori II akafuatwa na Papa Benedikto IV.