WabenediktoFrom Wikipedia, the free encyclopedia Shirika la Mtakatifu Benedikto (kwa Kilatini Ordo Sancti Benedicti au, kifupi, O.S.B.), ni utawa wa wamonaki wanaofuata Kanuni ya Mtakatifu Benedikto iliyoandikwa mwaka 534 na kuenea kote Ulaya Magharibi kama namna ya kawaida ya umonaki. Benedikto wa Norcia, Mwanzilishi wa shirika
Shirika la Mtakatifu Benedikto (kwa Kilatini Ordo Sancti Benedicti au, kifupi, O.S.B.), ni utawa wa wamonaki wanaofuata Kanuni ya Mtakatifu Benedikto iliyoandikwa mwaka 534 na kuenea kote Ulaya Magharibi kama namna ya kawaida ya umonaki. Benedikto wa Norcia, Mwanzilishi wa shirika